Klabu ya Baroka FC ya Ligi Kuu Afrika Kusini Imemtangaza Mtanzania Abdi Banda kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi wa tano (Mei) ndani ya Klabu hiyo.
Banda Aliyefunga Magoli Mawili na kuisaidia timu yake Kutoka Sare ya Magoli 2-2 Dhidi ya Bloemfontein Celtics Amejizolea Rand 5000 Ambazo ni Sawa na Fedha za Kitanzania Shs 907,375/=.
@officiallabdibanda24 👏👏👏⚽