HIKI hapa kikosi cha timu ya taifa Brazil, ambacho kitakwenda kupambana nchini Urusi katika fainali za Kombe la Dunia mwaka huu.
*Goalkeepers*: Alisson (Roma), Ederson (Man City), Cassio (Corinthians)
*Full-backs*: Marcelo (Real Madrid) Danilo (Man City), Filipe Luis (Atletico Madrid), Fagner (Corinthians).
*Centre-backs*: Marquinhos (PSG), Thiago Silva (PSG), Miranda (Inter Milan), Pedro Geromel (Gremio).
*Midfielders*: Willian (Chelsea), Fernandinho (Man City), Paulinho (Barcelona), Casemiro (Real Madrid), Philippe Coutinho (Barcelona), Renato Augusto (Beijing Guoan), Fred (Shakhtar).
*Forwards*: Neymar (PSG), Gabriel Jesus (Man City), Roberto Firmino (Liverpool), Douglas Costa (Juventus), Taison (Shakhtar).