Breaking News
Loading...
Monday, 7 May 2018

Info Post

Kama bado unaishi na una pumzi , basi ushauri wa bure kutoka kwangu acha kuwashindanisha hawa jamaa wawili wewe wafurahie tu pengine wamebakiza muda mchache wa kusukuma ngozi dimbani . ( Lionel Messi na Cristiano Ronaldo ).
Na pia hebu tuache ile tabia ya kushindanisha wachezaji wengine dhidi ya hawa jamaa wawili hivi jamani kwanini tunataka kuwakosea heshima kwa mambo makubwa ambayo huwezi hata kuyafikiria ambayo wameyafanya kwenye medani ya soka kwa takribani miaka 10 +
Namba hazidanganyi, jumla wawili wamefunga takribani magoli 1000, tuzo 10 za Ballon D'or , mataji ndio usiseme ya kutosha haswaaaaa.!