Nyota wa Misri Mohamed Salah ametwaa tuzo mbili kubwa ndani ya Liverpool kwenye hafla ya ugawaji tuzo za mwaka katika klabu hiyo ya Anfield.
Salah ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka ambapo tuzo hiyo inaamuliwa na kura kutoka kwa mashabiki lakini pia ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka kutokana na kura za wachezaji wenzake .
.
1. Liverpool Player Of The Year
2. Liverpool Player's Player of The Year.