Baada ya mechi saba za raundi ya 27 kukamilika leo, sasa ni wazi kuwa Simba wanaukaribia ubingwa wa VPL msimu huu kwani hadi sasa inahitaji pointi mbili pekee kujitangazia ubingwa, huku Ndanda SC, Majimaji FC, Njombe Mji na Mbao FC zinapigana kujinusuru kushuka daraja.
MSIMAMO VPL BAADA YA MICHEZO YA JAA
Info Post