Juventus wamewasilisha ofa ya kuwapa Chelsea Gonzalo Higuain kuwa sehemu ya dili la wao kumpata Alvaro Morata kwa mujibu wa taarifa kutoka The Evening Standard.
.
.
Mabingwa hao wa Serie A wameanza kuhusishwa na Morata ambaye aliwahi kukipiga katika klabu hiyo ya Turin kati ya mwaka 2014 mpaka 2016 .
.
.
Ili kulainisha dili hilo Juventus wameamua kumuhisisha na Higuain katika dili la kutua Stamford Bridge.