Ni Mtibwa Sugar ndio mabingwa wapya wa mashindano ya Azam Sports Federation Cup 2018
Klabu ya Mtibwa Sugar imefanikiwa kutwaa taji la Azam Sports Federation Cup (ASFC) baada ya kuibuka na ushindi wa magoli 3-2 dhidi ya Singida United. .
Imechukua ubingwa kwa kuwafunga Singida United magoli matatu kwa mawili huku magoli ya Mtibwa sugar yakifungwa na
Salum kihimbwa dk 22, Issa Rashidi dk 37 na Ismail mhesa dk ya 90 huku magoli ya Singida United yakifungwa na
Chuku dk ya 43 na Kutinyu dk ya 71