Yanga imeendelea kumvalia njuga mshambuliaji Ibrahim Ajibu wa Simba, baada ya kupanga kukata rufaa, kupinga kitendo cha Simba kumtumia msham...

Yanga imeendelea kumvalia njuga mshambuliaji Ibrahim Ajibu wa Simba, baada ya kupanga kukata rufaa, kupinga kitendo cha Simba kumtumia msham...
Kuzidiwa katika safu ya kiungo sambamba na benchi la ufundi kushindwa kusoma mchezo kwa umakini, vimetajwa kuwa sababu kubwa iliyopelek...
Mshambuliaji wa Kagera Sugar Rashid Mandawa amesema kuwa ataendelea kula sahani moja na Mrundi Didier Kavumbagu katika kuwania zawadi y...
Mwamuzi wa kati Israel Nkong'o kutoka hapa nchini, anatarajiwa kushika kipyenga kwenye mechi ya kombe la Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya...
Uongozi wa Simba umempiga kijembe Ofisa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga Jerry Muro kuwa amewekwa kwenye nafasi hiyo kimakosa. Kaul...
Jinamizi la majeruhi limeendelea kuiandama klabu ya Arsenal baada ya kubainika kuwa beki wake mpya Gabriel Paulista atakua nje kwa kipindi k...
. Miezi miwili iliyopita nilitembelea mitaa ya Kigamboni nikakutana mzee moja mshabiki mkubwa sana wa ile iliyokuwa Sunderland yaani ...
Kagera Sugar wamewatupia lawama waamuzi kuwa ndio chanzo cha wao kufungwa katika mchezo uliopita wa Ligi Kuu dhidi ya Stand United kwenye Uw...
Katika moja kati ya hotuba zake Baba wa Taifa mwalimu Julias Kambarage Nyerere aliwahi kuizungumzia Afrika na kuisikitikia mno Afr...