
Ushindi wa Spurs wa 2-0 dhidi ya Watford unaendelea kuongeza mshikemshike ya nani atashinda nafasi ya nne ambayo hivi sasa imeshikiliwa...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Jumatatu imetoa amri ya Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe na Franklin L...
Magoli ya Paul Pogba na Marouane Fellaini yametosha kuipa Manchester United pointi tatu baada ya kuifunga Arsenal 2-1 katika dimba la Ol...
Hat Trick ya Giovanni Simeone imetosha kuitungua Napoli 3-0 kutoka mikononi mwa Fiorentina na kuwaharibia mchakato wao wa kutwaa taji la...
Hat Trick ya Lionel Messi na moja kutoka kwa Philipe Coutinho yameipa Barcelona ushindi wa 4-2 dhidi ya Deportivo na kutwaa ubingwa wa L...
Kikosi cha Simba sc Kikosi cha Yanga
Faridi Miraji kocha wa Arsenal Arsene Wenger ambaye ataondoka Gunners mwishoni mwa msimu huu baada ya miaka 22 amepewa ofa ya kuwa Menej...
Ligi Kuu soka Ya Tanzania Bara Maarufu zaidi kama Vodacom Premier League itaendelea leo kwa Mechi 3 Kuchezwa. Katika uwanja wa Manungu m...
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Paul Makonda atakua mgeni rasmi wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara utakaowakutanisha Sim...
Gwiji wa klabu ya Barcelona Andres Iniesta amethibitisha kwamba ataondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu . Kiungo huyo mwenye umri wa...
TIMU inayoundwa na wachezaji chipukizi ya Tumbaku ya Morogoro leo iliwavua ubingwa wa michuano ya Kombe la Mei Mosi timu ya Geita Gold M...
Mkuu wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Haji Manara amewaasa waandishi wa habari na wadau wa soka nchini kuacha kutumia neno ...
Faridi Miraji, Dar es salaam *JUNI 7, 1965* Yanga 1- 0 Sunderland (Simba) MFUNGAJI: Mawazo Shomvi dk. 15). *JUNI 3, 1966* Yanga ...
Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa Ligi (Kamati ya Saa 72) ya Bodi ya Ligi katika kikao chake kilichopita taarifa na matukio mbalimbali...
Ikiwa kombe la dunia lipo kwenye kona meneja wa Sweden ametoa kauli nzito akisema hatoenda na ' Living Legend' wa Sweden Zlatan...